Artist: John Kijiko & Atomic Jazz Band
tanzania yetu ni nichi ya furaha
leo kwetu furaha
wee zaina
na tucheze pachanga
ewe amida wangu
ooh mpenzi asha
atomic jazz
msaangao umeniingia
tulivyo pendana
tulipokuwa safarini
taabu nyingi
TabLyrics