close

Biceps Lyrics & Chords By Juliani

LyricsView Chords

Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua urembo sio cutex
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua urembo sio cutex
ma-thug wanateremka ka longi yangu niki-sag
futi sita chini shags
jail ime-fail jaribu hugs
waonekani mtaani ka santa claus kinyozi
machozi ya kitungu
roho ya robocop
Sarah alikuwa anataka mtoto na ako menopause
ma-boy wanatafuta love kwa soap
washe wana-define love no soap... opera
haisaidii ka Micheal Jordan kununua kichana
eeh bana enda Koinange Street
cheki length ya skirt ya washe
hio ndio inaitwa ministry
mimi G
na-reason hivi
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua urembo sio cutex
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua urembo sio cutex
Ma-zero zikiwa kwa paper ya exam
una-jam
Lakini the more zikiwa kwa cheque book
unajisifu
venye unajua si hivyo huwa
kuvaa white haimaanishi angel
pengine ni ku klux klan
ku clash clad
ni ka Mkristo anaenda club anaenda pub
si nywele yao ni wig
si shida ya macho ni weed
wana njaa usidanganywe na toothpick
ndio una twenty six inch rims
lakini ka wengine utaingia six feet deep
wanabeba mandovu kwa wallet
lakini hawana nguvu ya kutoa msumari imewafunikia kwa casket
wanabeba mandovu kwa wallet
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua urembo sio cutex
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua urembo sio cutex
Wazembe waezi chana nywele wakaita dredi
waliishiwa na unga wakaitwa uji
kukua busy si bidii
sote wezi ni venye tujapatikana P3
I wonder tulikopesha ni grim reaper
inatu-cost life yetu
dough haiezi lipa
siku-choose kuingia hii dunia
pia sijui lini nitatoka hii dunia
basi mimi nitajivunia
mbona mapenzi kabla pete inapuliza tumbo
kama ni hatia tungefura mgongo
si mbaya msichana na kijana ku-keep in touch
lakini pete ndio inakupa ruhusa ya ku-keep na ku-touch
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua mwanaume sio biceps
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua urembo sio cutex
Pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua urembo sio cutex

Tracks related to biceps - juliani

mais que agora

by: gabi luthai

que tal

by: kleo dibah & rafael

mbinguni

by: sauti sol

sunny days

by: sauti sol

só pra amar você

by: lu & robertinho

feel no pain

by: camp mulla

mabawa

by: eric wainaina

volta pra casa

by: mayara prado

arrependida

by: rodrigo marim

cúmplices do amor

by: danilo reis & rafael

volta

by: danilo reis & rafael

joka

by: eric wainaina

então vai

by: mayara prado

levanta o copo

by: cleber & cauan

twende twende

by: eric wainaina

doidona na pista

by: rodrigo marim

so ruff

by: necessary noize

mabawa

by: eric wainaina

se eu me entregar

by: kleo dibah & rafael

sawa sawa

by: eric wainaina

mil noites

by: kleo dibah & rafael

mushivala

by: sauti sol

pegação

by: kleo dibah & rafael

zuzu

by: elani

vai bater lá em casa

by: kleo dibah & rafael

feito boba

by: gabi luthai

close
Sign in person Home A to Z All Artists Top Artists Top Tracks