close

Hey Lyrics & Chords By Just A Band

LyricsView Chords

[chorus]
Hey! Baby,
nataka kukuona,
sura yako inafanya roho inapona.
Eei! Kweli we ni malaika,
hao wengine nawaita kadhalika.
[verse 1]
Kaa kuna mtu hii dunia ana bahati ni mimi,
najua kila mtu ataniuliza kwa nini,
manzi yangu bumba hata mi siamini,
sitaki Ruth, sitaki Ray, sitaki pia Kanini.
Kushikwa nimeshikwa nikawekwa mfuko,
hakuna pickpocket atanitoa huko,
ni mimi na yeye,
yeye na mimi,
tuko pamoja kama mdomo ulimi.
Amekua na mimi nikikaranga chumvi,
atakuwa na mimi nikianza kunona,
sijamuona leo lakini story ni hii,
nitachukua simu yangu nimuambie hivi.
Ntasema.
[chorus]
[verse 2]
Si kila siku utapata msichana mzuri,
msichana amesoma ‘kini hana kiburi,
msichana saa zingine anasoma zaburi,
kusikiza santuri kwake pia desturi.
Kama niko na yeye kila kitu ni shwari,
naona poa sana ananijali hali,
ye ni upepo wangu katika jua kali,
tafadhali please nitasema ukweli.
Akiniacha leo sitafuti mwingine,
mambo ya kutafuta niliacha zamani,
lakini hiyo haitafanyika jamani,
juu hata yeye najua anafikiri hivi…
[chorus]
[bridge]
I have eyes for only you, for only you [x3].
[chorus]
[end]

You may be looking for...

Tracks related to hey - just a band

fade to white

by: blaqk audio

fun fun fun

by: dada life

the past

by: vitalic

tonight

by: yuksek

escape

by: the toxic avenger

superheroes 2007

by: the toxic avenger

reaktor

by: autokratz

dng

by: automat

prelude 4

by: automat

buzz buzz buzz

by: black strobe

hands of a stranger

by: teenage bad girl

crossover appeal

by: guns n' bombs

crowdpleaser

by: bangkok impact

zero machine

by: le castle vania

answers

by: college

kesskonf'

by: le peuple de l'herbe

dirt box

by: shadow dancer

let me back up

by: don rimini

a contrario

by: don rimini

lena

by: germany germany

tomorrow

by: ginger ale

haunted

by: the hacker

bleed

by: the knife

morze

by: midi lidi

leisure suit

by: moullinex

just me

by: plus move

close
Sign in person Home A to Z All Artists Top Artists Top Tracks