Na Yule Lyrics & Chords By Ruby
Mapenzi hayana mwenyewe, unaweza ukapenda kijana au mzee Niite jina langu baby, huenda nafsi yangu itapoa Shika moyo wangu baby, unavyo kwenda mbio wewe utapoa Kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema Ila bado siyo mbaya wewe ndo unaejua maumivu yangu X2 Sibra ndo initoke machoniii tembea nami ndotoniii Ntakuweka moyoniii bila hofu rohoniii Moyo wangu tembea na yule, na yule ndo nampendaga Macho yangu mtazame yule, mtazame yule namwamini sana (2) ahhhhh Baby, sitaki kutazama nyuma tena. mmh, maumivu nilisha yaona Wengi walinipotezea muda, hakuna nilichokipata Kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema Ila bado sio mbaya wewe ndo unaejua maumivu yangu X2 Sibra ndo initoke machoniii, tembea nami ndotoniii Nitakuweka moyonii bila hofu rohoniii Moyo wangu tembea na yule, na yule ndo nampendaga Macho yangu mtazame yule, mtazame yule namwamini sana Bridge- Moyo wangu tembea na yule, na yule ndo nampendaga Macho yangu mtazame yule, mtazame yule namwamini sana Moyo wangu tembea na yule, na yule ndo nampendaga Macho yangu mtazame yule, mtazame yule namwamini sana
Rubby - Na Yule chords lyrics