close

Ntampata Wapi Lyrics & Chords By Diamond

LyricsView Chords

sura yake mtaratibu… mwenye Macho ya aibu,
kumsahau najaribu ila namkumbuka sanaa…
umbo lake mahbib,. kwenye maradhi aliye nitibu,
Siri yang kaharibu bado namkumbuka sanaaa…
Aliye nifanya silali…jua kali nitafute tukale… lakini-(ila)
hata kujali, darln, akatekwa na wale
Aliye nifanya silali... jua kali nitafute tukale….
Lakini-(ila)
Hata kujali, darlin, akatekwa na wale.
Ntampata wapi kama yule niliye mpendaga sana…
ntampata wapi kama yule anipende sana.
Ntampata wapi, kama Yule nliye mpendanga sana.
Ntampata wapi, kama yule nliye mpendanga sana.
ai nyotaaa nyota ndo tatizo langu, nyotaa mpaka nalia peke
yangu…
ai nyotaaa nyota ndo shida yangu, nyota wamenizidi
wenzangu…
alidanganywa na wale… wenye mapesa nyumba gari mi
kapuku akunijali akanikimbia,
alidanganywa na wale wamapesa nyumba gari mie
ungaunga akunijali akanikimbia…
aliye nifanya silali, jua kali nitafute tukale lakini hata akujali
darln akatekwa na wale"x2….nitampata wapi kama Yule
niliye mpendaga sana nitampata wapi kama yule aliye
nipenda sana"x2.
.bado ananijia ndotoni… ila nikiamka simwoni. bado
ananijia nikilala haki ya mungu sio masihara,
bado ananijia ndotoni nikiamka simwoni bado ananijia
nikilala haki ya mungu sio masihara……
Hii ni Sauti Ya Rais.Ilomshindaga Ibilisi.kwa wanadamu
sio Rahisi…
Kamwambie.aaa…Lazima Ujue kutofautisha…aaa…kati ya
Msalaba na Jumulisha.aaa
Kuna X na Kuzidisha….
bado ananijia nikilala haki ya mungu sio masihara.!!!!
End!!

Tracks related to ntampata wapi - diamond

we outchea

by: ace hood

the brouhaha

by: beastie boys

like me

by: kirko bangz

cashin' out

by: ca$h out

beat in my trunk

by: hurricane chris

my moment

by: dj drama

white tee

by: dem franchize boyz

king sh*t

by: yo gotti

act right

by: yo gotti

i do

by: lil jon

we the people

by: kottonmouth kings

lighters up

by: lil' kim

bin laden

by: three 6 mafia

petey pablo

by: petey pablo

hold on

by: david banner

down here

by: body head bangerz

jenny poo

by: diamond

who got it

by: nappy roots

no more hell

by: unknown prophets

diamond

More by diamond

close
Sign in person Home A to Z All Artists Top Artists Top Tracks