close

Sina Makosa Lyrics & Chords By Les Wanyika

LyricsView Chords

hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba
yule si wako
nami si wangu
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba
kwako hayuko
kwangu hayuko
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba
wewe una wako nyumbani
nami nina wangu nyumbani
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
nasema sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana

Tracks related to sina makosa - les wanyika

two humans on the run

by: johnny clegg & juluka

ya jean

by: madilu system

bane

by: oliver n'goma

nge

by: oliver n'goma

umqombothi

by: yvonne chaka chaka

soma kijana

by: sauti sol

usiniseme

by: ali kiba

moyen té

by: awilo longomba

abidjan debout

by: awilo longomba

marie louise

by: henri bowane

alima wangu

by: fadhili williams mdawida

majurugenta

by: ghorwane

guidema

by: ghorwane

nyangawuya

by: hukwe zawose

malaika

by: mad ice

pendo la wasikitisha

by: ikhwani safaa musical club

nipepee

by: ikhwani safaa musical club

beyanga

by: mbilia bel

nakei nairobi

by: mbilia bel

up and down

by: west nkosi

roger milla

by: pepe kalle

nomshloshazana

by: mahotella queens

muvaro

by: zaiko langa langa

alice motema

by: thu zahina

siwuhambile umhalaba

by: amaswazi emvelo

you must calculer

by: prince eyango

dunia ina mambo

by: eric wainaina

who is to blame?

by: eric wainaina

salimata

by: ifang bondi

bayasazi

by: mahlathini

sisi vijana

by: master musicians of tanzania

ulele mwana lelo zaina

by: master musicians of tanzania

trop c'est trop

by: extra musica

noa

by: sam fan thomas

qhwahilahle

by: moses mchunu

close
Sign in person Home A to Z All Artists Top Artists Top Tracks