close

Machozi Lyrics & Chords By Bahati

LyricsView Chords

Ooh Bahati Bahati tena
Maachozi machozi ii, machozi mamaye
Machozi skiza papaye
Vidonda vichungu na fikra ona
vile niliumia
Machozi machungu nakuta mbona hakuna vile ningeficha *2
Maisha yangu ya usali,
kasoro mali
Wapi wangu waniokoe,
napoteza mzazi uchungu wa mwana,
Mbona mola uniondoe *2 Nilikosa hata moyo kuchonga moyoni,
niliumia sana
Maskini kusema hawachoki kuchonga nililia msee iaa
Nilijawa machozi,
mbona mimi
Maswali kwa mola,
mbona mimi
Nilijawa machozi,
mbona mimi
Mbona dunia uchungu,
mbona mimi
oooi oooi oooi oooi
oooi oooi oooi oooi
Nafanya napata gharama,
kuwa inakera
Bidii nikaweka nikaangua pa tupu,
niliota kupenya
Mziki ilifanya sana napata gharama,
kuwa inakera
Bidii nikaweka nikaangua pa tupu, niliota kupenya
Ilikuwa uchungu madungu zangu, Nilijawa naumia aai ilikuwa machozi sina hata pozi,
ila tumbo inalia aai *2
Nilijawa machozi,
mbona mimi
Maswali kuwa mola,
mbona mimi
Nilijawa machozi,
mbona mimi
Mbona dunia uchungu,
mbona mimi
oooi oooi oooi oooi
oooi oooi oooi oooi
Naye ukaniweka chini, niende wapi mwenzio
Niliangaika kwenda mjini,
mashambani hivo hivo *2
Ukawamu kunionyesha mapenzi,
hapo siku ya kwanza
Maulana kwangu ukakuwa mpenzi,
ndio ukaniacha *2
Nilikosa hata moyoni,
niliumia sana
Maskini kusema hawachoki kuchonga,
nililia msee aai
Nilijawa machozi,
mbona
Maswali kwa mola,
mbona
Nilijawa machozi,
mbona mimi
Mbona dunia uchunga,
mbona mimi
mbona mimi, mbona mimi
Si amini ni mimi leo,
Maulana hayali mbivu oooh
Si amini ni mimi leo,
Rabuka hafungi sikio *2

Tracks related to machozi - bahati

von jetzt an

by: damion davis

richtig geil

by: icke & er

keen hawaii

by: icke & er

chill faktor

by: marsimoto

klo koks klan

by: xberg dhirty6 cru

immer unterwegs

by: damion davis

make it mellow

by: demarkus lewis

bättre i berlin

by: mofeta & jerre

need

by: tibursky

jacke

by: pilskills

das is wie

by: pilskills

i love you so

by: serch + drumkid are gutta music

tictic tak

by: serch + drumkid are gutta music

brain dead

by: the milk monitors

tant fou

by: yukazu

diese eine nacht

by: sascha mersch

egal

by: sanfranzernsdorf soundsystem

amico

by: fancyman

your way

by: geschwister schumann

the frontier

by: geschwister schumann

ground

by: philmtwin

freeride

by: the big ride

neun jahre

by: mizz eliza

dead man wanking

by: totally stressed

hungy girls are popular

by: totally stressed

bahati

More by bahati

close
Sign in person Home A to Z All Artists Top Artists Top Tracks