close

Mikasi Lyrics & Chords By Mangwea

LyricsView Chords

Ni asubuhi ninaamka ninapiga mswaki Kisha naenda kubath kuweka mwili safi Narudi ghetto nafungua kabati Nachukua pamba bling bling kwa chati Na t-shirt ya black na jeans ya khaki Na chini nina simple white tisha za Nike Kisha mzee najipulizia marashi Nanukia safi Niko na machizi wa Chambers Squad na Darky Tunawapigia simu Rich Coast wako wapi Tunakutana mitaa ya Chaga Bite Asubuhi tunapata zetu supu kwa chapati Na mitungi ya kupotezea wakati Ukitaka fegi mezani kuna pakti Iwe Sport au SM au Embassy Hapa utakula raha mpaka mwenyewe utasema basi Tunakamua mpaka ile mida ya lanchi Tunaagiza ugali mkubwa na samaki Makamuzi yanaendelea mpaka nighty Watu wanaingia Graveyard kwanza kupata nyasi Tunarudi kila mmoja anajisachi Ni kiasi gani mfukoni kilichobaki Kujicheki mi nina kama laki Nikawaambia machizi kinachofuata mikasi Mitungi, blanti, mikasi Kama ukitaka kuvinjari nasi Basi mfukoni mwako nawe uwe safi Mitungi, blanti, mikasi Kama ukitaka kuvinjari nasi Basi mfukoni mwako nawe uwe safi Kulewa tushalewa kilichobaki mikasi Washikaji milupo tutapata wapi? Milupo labda mitaa ya kati so tunaenda vipi kwa miguu au kwa basi? Usiku huu bora tuchukue taxi Poa basi tusipoteze wakati Ks ks naita taxi Njoo utupeleke mitaa ya kati Tukacheki midudu ya kupiga mikasi Tuelewane kabisa itatucost shilingi ngapi? (Buku nne tuu) Aah wapi! Kwani hapa na pale ni umbali wa hatua ngapi? (Si mnacheki wenyewe mko wangapi?) Usimind sana babake tuko safi Tuchangeni tusipoteze wakati Ludi eh kwani we una shilingi ngapi? (buku tano) Venture? (bati) Sasa wewe una bati usiku huu unaenda wapi Wakati hiyo bati hata soda tuu hupati Bora uweke kesho unywee chai na chapati Asiye na kitu mi naona bora akabaki Tusije mbele tukashikana mashati Suka eh! tuanzie Masaki Mchizi kapiga simu yani kuna bonge la party Mitungi, blanti, mikasi Kama ukitaka kuvinjari nasi Basi mfukoni mwako nawe uwe safi Mitungi, blanti, mikasi Kama ukitaka kuvinjari nasi Basi mfukoni mwako nawe uwe safi Dereva funga brake tushafika kwenye party Eeeh bwana eh kumbe bonge la party Cheki mademu kibao utadhani kitchen party Duh! cheki lile anti lililovaa skintight Ee bwana eh! liko safi Sio mchezo babake unaweza ukahonga laki Aah wapi! mtu kama mi hanipati Usawa wenyewe huu wa kulenga kwa manati Haya basi tujichanganye katikati Tukacheki mitungi na mademu wa mikasi Oh yeah, braza mwenye black unaitwa na yule anti 'Yuko wapi?' Yule aliyevaa suti ya kaki Aunty vipi? Aah safi. Samahani kwa kukupotezea wakati Nilikuwa naomba tuwe wote kwenye party Au unasemaje? (Mi naona safi) Samahani wewe anti ambaye umevaa shati Hivi unaitwa nani eh? naitwa Bahati Hivi Aunty nishawahi kukuona wapi? Acha longolongo we sema una shilingi ngapi Oyaa we'e vipi? mpango wako vipi? Mbona mi mazee mpango wangu safi Ishakuwa usiku twenzetu tukachukue taxi (Aha) Twenzetu tukapige mikasi Mitungi, blanti, mikasi Kama ukitaka kuvinjari nasi Basi mfukoni mwako nawe uwe safi Mitungi, blanti, mikasi Kama ukitaka kuvinjari nasi Basi mfukoni mwako nawe uwe safi Yeah, yeah, yeah, yeah East Zu yo! holler Bongo records Ngwair Ee bwana eh Niko around mazee

Tracks related to mikasi - mangwea

save us

by: khadja nin

soobax

by: k'naan

alone

by: k'naan

good bye

by: lokua kanza

secret d'afrique

by: magic system

the competition

by: the constructus corporation

wakey wakey

by: the constructus corporation

n'dare

by: alpha yaya diallo

oko agae mi

by: king ayisoba

mosumana collé

by: baka gbiné

mbunja’s rap

by: baka gbiné

kalé

by: gabin dabiré

no hook

by: ikechukwu

africa

by: johnny clegg & juluka

mr. brown

by: zap mama

ni kii kiega

by: eric wainaina

dek dek dek

by: eric wainaina

gua

by: emmanuel jal

mfowethu

by: zimbabwe legit

dookoom

by: dookoom

ato jne wa

by: les go de koteba

lebede

by: arafat

normal

by: lotfi double kanon

trop tard

by: lotfi double kanon

so ruff

by: necessary noize

siensal

by: pee froiss

mangwea

More by mangwea

close
Sign in person Home A to Z All Artists Top Artists Top Tracks