close

Milele Lyrics & Chords By Mercy Masika

LyricsView Chords

Wako mwana, ukamtuma, duniani kisa na maana, nipate uzima, jamani Wako mwana, ukamtuma, duniani kisa na maana, nipate uzima, jamani Ishara kwamba unanipenda zaidi Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi Ishara kwamba unanipenda zaidi Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi Na siwezi jizuia, kusema wako wema Na sio kama najigamba, umenitenda mema Na siwezi jizuia, kusema wako wema Na sio kama najigamba, umenitenda mema Umekua mwema kwangu Umenitoa gizani, nilipokuwa nimeshikwa mateka Ukanipa tumaini, kwako nikajificha Sasa nitakupa nini, iwe sawa na yale umetenda Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia Ilikugharimu, msalabani unifie Hivo inanibidi, sifa nikuimbie Wema wako niseme, ili na wengine wakujue Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne Na siwezi jizuia, kusema wako wema Na sio kama najigamba, umenitenda mema Na siwezi jizuia, kusema wako wema Na sio kama najigamba, umenitenda mema Umekua mwema kwangu, wacha niringe Umekua mwema kwangu, ooh Yahweh Ooh Kwangu, ooh umenitendea Kwangu Wacha niimbe. Na siwezi jizuia, kusema wako wema Na sio kama najigamba, umenitenda mema Na siwezi jizuia, kusema wako wema Na sio kama najigamba, umenitenda mema Na siwezi jizuia, kusema wako wema Na sio kama najigamba, umenitenda mema Na siwezi jizuia, kusema wako wema Na sio kama najigamba, umenitenda mema Siwezi jizuia...

Tracks related to milele - mercy masika

likombe

by: koffi olomide

gidi love

by: banky w

relax

by: sauti sol

ikea

by: koffi olomide

power 001

by: fally ipupa

diabolos

by: koffi olomide

mikitisa

by: fally ipupa

daima

by: eric wainaina

ni kii kiega

by: eric wainaina

papa bonheur

by: koffi olomide

i will follow

by: anthony evans

imani

by: p-unit

get low

by: tiwa savage

kookoo

by: elani

ekafela

by: koffi olomide

mon amour

by: fally ipupa

jana ni jana

by: eric wainaina

munachi

by: flavour

before you

by: anthony evans

all things new

by: anthony evans

trust in me now

by: anthony evans

mannequin

by: koffi olomide

low key

by: banky w

phaseur

by: koffi olomide

mwana

by: alikiba

mbinguni

by: sauti sol

kadondo style

by: eddy kenzo

qui cherche trouve

by: koffi olomide

in christ alone

by: anthony evans

malikia

by: sauti sol

dream

by: gramps morgan

angel

by: liquideep

fela interlude

by: tiwa savage

glory to the king

by: anthony evans

silence

by: anthony evans

mercy masika

More by mercy masika

close
Sign in person Home A to Z All Artists Top Artists Top Tracks